“Kadi hii ya kidijitali kwenye mtandao wa Facebook na X (awali Twitter), yenye chapa ya Watetezi TV na barua inayodaiwa kutoka kwa Muungano wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (The Tanzania Human Rights Defenders Coalition) — (THRDC)”
PesaCheck rated this: Fake